Funny stuff..πŸ˜‚


Channel's geo and language: not specified, not specified
Category: not specified


Just jokes

Related channels

Channel's geo and language
not specified, not specified
Category
not specified
Statistics
Posts filter


Share my link guys




Umewahi patana na crush wako ukiwa mchafu mpaka unataka kumshow "ungeniona jana ungetii"πŸ˜‚πŸ˜‚


Kuuliza tu .... uko na bedside light switch, ama unapapasanga ukuta usiku kama mchawi?


Mnaingia kwa mat mkikula apple na bae wako, konda anawauliza "Adam na Eve, mumeacha nyoka wapi"πŸ˜’πŸ’”πŸ’”


Unashinda ukisema "respect other people's hustle'' na ukipigwa ngeta unapiga nduru!πŸ€”πŸ€”


Kama mungu hajakubariki na gari maybe anapenda walking style yakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Nyi madem wa Maasai mjifunze kutwerk bana,c saa yote kutingiza kichwa hadi ngoma za GengetoneπŸ˜‚πŸ˜‚


Msee ata heri utafute tutorials online ujifunze kukiss si kuja kupaka msichana wa wenyewe mate ni kama unatafuta puncture kwa tyre πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Things may be hard but invest in some spray.You have no business smelling like your problemsπŸ˜‚


Guys share my link @upuzinakucheeka


Unatembelea bae alafu unavaa T-shirt yake πŸ˜‚πŸ˜‚
....... Kidogo kidogo unaskia wamama wa ploti "na nyinyi wasichana si mnapenda hio T-shirt"πŸ˜‚


Lakini Walimu wa high school walikuwa na utoto. Yaani baba ya mtu angejificha usiku kwa giza eti ndio akushike ukienda chooπŸ˜‚


When pregnant, wear some nice clothes ,do your hair, your are pregnant not madπŸ˜‚πŸ˜‚


We are fighting covid and you're telling me you haven't seen your periods! Joan, do you really care about this country?


Kuna dem flani nmemuuliza mbona hana haga bigi akanishow anangoja deal flani iivaneπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Kukausha viboko za mode wa math pale class 7 juu crush ako same class was one hell of a talent πŸ˜‚πŸ˜‚


Nilikuwa nataka kuomoka nikakumbuka 'Happy are the poor for the kingdom of God is theirs'πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜
Sa hii niko base, kazi ni jaba na konyangi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


To my future kids bado nawataftia mum mwenye boobs zake zimesimama wima
😁😁😁hamuezi nyonya slippersπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Nmepatana na mkale mwingne hapa akaniambia ameaza kukula porn-ass 😁😁
kumbe gaidi inamaanisha bonus πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

20 last posts shown.

18

subscribers
Channel statistics