Polisi alishika watu wa tatu maskani wakinuka bangi lakini hakujua alovuta ni nani kati yao, Akumuuliza wa kwanza " Mechi ya chelsea na Manchester nani kashinda ? akajibu "Manchester
" Akamuuliza wa pili " kati ya police na wahalifu nani alishinda vitani ? akajibu police .
Akamuuliza wa tatu umejifunza nini kutokana na haya majibu ? akajibu Manchester na police watacheza fainali. 😂😂😂