👉@HabariTz
▶ "Ndoto yangu kubwa ilikuwa ni Yanga kwenda kwenye mabadiliko" - Raha ya ushabiki wa jambo ni pale tu unapotamani...
Media
"Ndoto yangu kubwa ilikuwa ni Yanga kwenda kwenye mabadiliko" - Raha ya ushabiki wa jambo ni pale tu unapotamani jambo lifanyike na ukaona dalili halisi za kufanyika kwake daima hujenga ari na hamasa kubwa kwa mwanachama na shabiki wa kweli kama ambavyo shabiki wa Timu ya Wananchi, Jesca John anatavyotamani kuiona Yanga yenye mfumo wa kisasa wa uendeshaji.
.
.
Kwa moyo wa dhati anamuunga mkono Mwenyekiti wake Dkt. Mshindo Msolla, kuelekea mchakato wa mabadiliko.
.
.
@yangasc @laliga @gsmtanzania @antonionugaz @caamil_88 @hbumbuli #MabadilikoYanga #Twenzetukwenyemabadiliko #daimambelenyumamwiko