Nmeona watu wengi mmeonesha interest ya kufanya Hii very simple ziely Task
Basi nitatuma tips za kuweza kupata XP nyingi Zaid ya kumaliza hz Quest
Hyo ziely task inaisha ndani ya siku 16(2 weeks) na reward itakua distributed ikiisha
Leaderbord
1-10($300 each)
11-60($100 each)
NI very simple
Task ya thread tumia CHATGPT
Nenda kwenye page yao Twitter, copy post yao ya mwanzo kabisa inayoelezea kuhusu wao paste af muelekeze chatgpt atengeneze thread kuhusu hyo project kulingana na hz taarifa zake ✅
Task ya create meme
Nenda playstore download app ya kutengeneza meme inaitwa Sandstorm kuna Templetes nyingi za kutengeneza meme Chagua yeyot nzur piga meme wapost, watag,
Mfano wa post ni Hii yangu Angalia
https://x.com/Eddies_9393/status/1895187365548958162?t=RV6qX1TdyDwv_HXLiD1OQQ&s=19SEHEMU YA suggestion muulize chartGpt copy paste imeisha hyo
Had hapo utakua kwenye leaderbord top 1-100
Chungulia Kila sku Quest mpya
Shikilia Bomba, week mbili kwisha 😂