STEP YA PILI BAADA YA KUPATA SERVER
SIGN UP KWNYE SHARDEUM KWANZA
KAMA UNA TUMIA SIMU ANZA KWA KUIFUNGUA LINK NDANI YA METAMASK WALLET YAKO
THEN ADD NETWORK YA SHARDEUM ATOMIUM
KWA MUDA WAKO UTAFANYA HIZO STAGE 4 ONCHAIN TASKS
HAPA NAKUELEKEZA VALIDATOR TASK
JOIN KWNY DISCORD CHANNEL YAO, NENDA SEHEMU YA FAUCET, COPY ADDRESS YAKO YA METAMASK THEN PIGA COMMAND YA /faucet (address yako) UTAPOKEA TEST TOKEN KAMA 30 SHRM
NEXT STEP
DOWNLOAD TERMIUS APP(playstore) AU KWENYE WINDOW KAMA UNATUMIA PC
LINK YAKE
https://termius.com/download/windowsUKIIFUNGUA (screenshot 1)
UTAJAZA TAARIFA ZA ILE VPS ILI UWEZE KULOGIN
UTACHAGUA NEW HOST
UTAJAZA IP ADDRESS
USERNAME UTAWEKA(root kwa herufi ndogo)
PASSWORD UTAWEKA ULIYOITUNZA MDA ULE WA KUNUNUA VPS
THEN CONNECT
ITAKUJA INTERFACE NYEUSI SASA HAPO NDO KWA KUWEKA COMMANDS ZOTE ZA KURUN NODE
NI KAZ YA KUCOPY AND PASTE VERY SIMPLE
COMMAND ZOTE UTAZIKUTA HAPA
UTACOPY KAMA ZILIVO UNARUND MOJA BAADA YA NYINGINE HADI MWISHO
https://docs.shardeum.org/docs/node/run/validator/self-host?_gl=1*1b5wr11*_gcl_au*NzQ1Njk0MzAwLjE3MzM4NTU2MDY.*_ga*NjY2Mjc0MTU3LjE3MzM4NTUyNzk.*_ga_2VJLR99VYW*MTczNDU2MjY3OC4zLjEuMTczNDU2NDI2Mi42MC4wLjA.#minimum-hardware-requirements
UKIFIKA SEHEM YA SET PASSWORD YA DASHBOARD HAKIKISHA INA HERUFI KUBWA, NDOGO, NA SPECIAL CHARACTER
PIA UKIFIKA SEHEM YA KUA CESS DASHBOARD YAKO
NENDA KWENYE CHROME BROWSER YAKO
type
https://104.251.218.55:8080/IKILETA THIS SITE IS UNSECURED IGNORE WARNING PALE KWNYE ADVANCED THEN PROCEED
UTALOGIN KWNY SHARDEUM VALIDATOR DASHBOARD YAKO
KWA KUWEKA PASSWORD ULIYOSET KWNY TERMIUS COMMANDS HAPO NYUMA
UKILOGIN
CONNECT METAMASK WALLET YAKO YENYE TEST TOKEN TAYARI TAYARI
THEN STAKE TOKEN 10 SHRM
THEN WAIT KAMA DKK 5 HV ITATOKA KWENYE WAITING MODE NA ITAKUA STANDBY MODE
HAPO NODE YAKO ITAKUA ACTIVE AND RUNNING
THEN RUDI KWENYE SHARDEUM SITE COMPELET ILE TASK YA RUN NODE UTAPATA SOME XP
UKIAMALZ VYOTE RUD SASA KWNY ONCHAIN TASKS UFANYE KDG KDG WAKAT HUO NODE INARUN SMOOTHLY